Hadithi za kiswahili 2018

Haya sasa wadau. Kinaingia rasmi sokoni Jumatatu hii ya tarehe 4 Apriljipatie nakala yako. Ni siku ya jumapili, siku ya mapunziko kwa waatumisi wa nafasi kama yake. Yeye ni katibu muhtasi, pia ni mhazini kwenye shirika moja la kiserikali lenye ofisi zake kwenye jengo la JM Mall lililopo Samora Avenue kakikati ya jiji la Dar es Salaam. Alipepesa macho kisha akageuza kichwa upande kuangalia saa ya ukutani.

Inakaribia saa mbili unusu. Mwili aliuhisi mchovu kwani jana alikunywa bia zaidi ya nne wakati kiwango chake cha kawada ni chini ya bia tatu na akalala saa nane wakati kiwango chake cha kawaida ni si zaidi ya saa sita. Alikuwa akimsubiri mumewe ambaye alitarajiwa kurejea toka safari jioni ya jana.

Baada ya muito wa tatu alinyoosha mkono na kuichukua simu kwenye stuli kando ya kitanda. Alihisi ni mume wake, lakini alipoangalia jina la mpigaji, alitabasamu. Alijikohoza kusafisha koo. Mambo yote yamekwenda sawa, ila tu kwa kutimiza wajibu wangu mwingine usio rasmi, nachelea kuwadokolea kidogo yaliyojiri. Ni stori inayomhusu Dada Jesca, mhazini wetu pale ofisini.

Kisa kilianza kwa kuwa aliwahi kutoka kazini kuliko ilivyo kawaida yake, na kama ilivyo ada ya kamera yetu ya simulizi kutoka jikoni ikamfuatilia kujua kulikoni?!!

Si unajua tena…. Basi siku ile, kwanza Dada Jesca alikuja akiwa ameupara na kupendeza kwelikweli ingawa kwa kweli maumbile ya mtoto wa kike huyu hata akivaa maturubai anavutia, pili aliomba ruhusa mapema sana aweze kurudi nyumbani kwa kuvunga kuwa eti anajisika vibaya, mmh… kumbe mumewe alikuwa yu njiani kurudi toka safari ya wiki tatu na alikuwa ana hamu naye kupita maelezo.

Tukumbuke kuwa ni miezi miwili tu imepita tangu Dada Jesca alipofunga pingu za maisha na kijana Badi na kuanza naye maisha mapya, kwenye nyumba mpya. Mume wake ni mfanyibiashara na alikuwa safarini kwa kipindi cha wiki tatu zilizopita. Skip to content Home About.

Hadithi! Hadithi!

Dada Jesca. Wasiliana nami kwa na Weka mbali na watoto. Like this: Like Loading Mtunzi; Issa S. Si unajua tena… Basi siku ile, kwanza Dada Jesca alikuja akiwa ameupara na kupendeza kwelikweli ingawa kwa kweli maumbile ya mtoto wa kike huyu hata akivaa maturubai anavutia, pili aliomba ruhusa mapema sana aweze kurudi nyumbani kwa kuvunga kuwa eti anajisika vibaya, mmh… kumbe mumewe alikuwa yu njiani kurudi toka safari ya wiki tatu na alikuwa ana hamu naye kupita maelezo.

By continuing to use this website, you agree to their use. To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy.Weka dondoo hili katika muktadha wake. Eleza maonevu yanayotekelezwa na wanaorejelewa. Fafanua umuhimu wa Mzee Mago katika kuendeleza maudhui ya hadithi husika.

Ushirikiano na ujasiri ni nguzo muhimu katika ujenzi wa jamii mpya. Kwa kurejelea juhudi za Wanamadongoporomoka, thibitisha ukweli wa kuli hii. Al Fafanua jinsi mwandishi wa hadithi ya Tumbo Lisiloshiba alivyofaulu kutumia mbinu zifuatazo: i. Taswira ii.

hadithi za kiswahili 2018

Ulinganuzi iii. Jazanda iv. Mbweu likapasuka kama mzinga na kutoa uvundo wa mnyama aliyeoza. Eleza muktadha wa dondoo hili. Eleza maudhui ya tamaa na ubinafsi yanavyojitokeza katika hadithi hii. Taja na utolee mfano mbinu mbili za lugha zilizotumika katika dondoo hili.

Fafanua umuhimu wa msemaji wa dondoo hili. Kwa kurejelea hadithi ya Mapenzi ya Kifaurongo, jadili ukweli wa kauli hii. Fafanua muktadha wa dondoo hili. Eleza jinsi hali inayorejelewa ilivyoathiri maisha ya msemaji. Fafanua matumizi ya kinaya katika hadithi hii.

Fafanua maudhui yafuatayo yanavyojitokeza katika hadithi ya Mapenzi ya Kifaurongo. Utabaka ii. Eleza chuku iliyo katika hadithi ya Shogake Dada ana Ndevu. Al 10 b. Fafanua uhusika wa Safia katika kujenga maudhui ya hadithi hii. Fafanua sifa tatu za anayerejelewa na dondoo hili. Jadili maudhui ya malezi jinsi yanavyojitokeza katika dondoo hili. Kwa kurejelea hadithi ya Tumbo Lisiloshiba, Mapenzi ya Kifaurongo na Shibe Inatumaliza, jadili maudhui ya tamaa, migogoro na utabaka.

Fafanua jinsi hali ya kutomchunguza bata inavyojitokeza katika hadithi ya Shibe Inatumaliza. Ubadhirifu ni suala linaloathiri vibaya maendeleo na uchumi wa mataifa mengi. Thibitisha kauli hii kwa kurejelea hadithi.Hadithi za kale zenye mafundisho za Esopo zilizoandikwa zaidi ya miaka iliyopita. Zimetafsiriwa kwa Kiswahili na Issa S.

Hekaya za Esopo. Blog inarekebishwa, itakuwa tayari hivi karibuni Tunatengeneza picha za kuweka hapa Search This Blog. Pages Home. Thursday, March 1, Mbweha na Beberu. Issa Kanguni PM No comments. Siku moja Mbweha alitumbukia kisimani kwa bahati mbaya, na ingawa kisima chenyewe hakikuwa na kina kirefu sana, alijikuta akishindwa kutoka nje tena. Baada ya kuhangaika kwa muda mrefu bila mafanikio, hatimaye akatokea Beberu mwenye kiu kali.

Beberu alidhani kuwa Mbweha ametumbukia kwenda kunywa maji kukidhi kiu yake, na hivyo akauliza kama maji yalikuwa safi au la.

Dubu na marafiki wawili - Hadithi za Kiswahili - Katuni za Kiswahili - Swahili Fairy Tales

Maji ni mengi yanatutosha sote na tutasaza. Beberu mwenye kiu mara moja alijitosa kisimani na kuanza kuyafakami maji. Mbweha naye kwa haraka sana alimdandia Beberu mgongoni akachupa kwenye ncha za pembe za Beberu na kutoka zake nje ya kisima.

Lakini Mbweha tayari alikwishaanza kutokomea zake mitini. Soma zaidi. Wednesday, February 28, Kisa cha Beberu Wawili. Saturday, April 2, Kitabu Kitabu Kitabu. Kitabu kipya cha hadithi kali ya mapenzi kimetoka. Kitaanza kuuzwa rasmi Jumatatu tarehe 4 April Tausi, kwa maringo na madaha aliupepeza mkia wake mpana na kumdhihaki Korongo ambaye alikuwa akipita karibu yake, akimtazama kwa dharau kwa kuona rangi ya manyoya yake iliyofubaa na isiyovutia, akamwambia.

Mwanamfalme aliagiza Nyani kadhaa wapewe mafunzo maalum ya kucheza shoo.Term 1 Exams now available. Je, Samueli alikuwa amepita mtihani wake wa Elimu?

Samueli haoni haja ya kuishi tena. Anakata kauli kujitosa majini afe. Hakuwa tayari kupata aibu kutokana na matokeo yake mabaya. Kuanguka mtihani wa elimu sio kuanguka mtihani wa maisha. Samueli ni mcheshi. Nitengee nafasi. Mwanamke anapuuzwa katika jamii hii. Elimu ni muhimu maishani. Waa…zazi wangu. Kuanguka mtihani kwa Samwueli si jambo alilokuwa akitarajia.

Alikuwa ana uhakika kuwa amepita mtihani wake. Anaamini Samuel hajaanguka mtihani wa mwisho. Ana faida gani huyo? Babake Samueli ana moyo usiojua kusamehe. Anamtupia kwa mtu anavyomtupia mbwa mfupa.

hadithi za kiswahili 2018

Uk akitoka ndani atakuwa akitembea kama fahali. Uk amamtupia kama mbwa anavyomtupia mbwa mfupa. Uk anamuona baba akilini kama hayawani. Uk Nzi wa kijani ya samawati waliokula wakashiba. Uk Safu safi ya D na E ilimkodolea macho bila kupesapesa. Uk Ilimuradi mawazo yana mwadhibu sasa. Uk Uso wake wenye makunyanzi ulipiga mapeto. Uk Anakitazama kidole cha Mwalimu mkuu kupiga masafa. Uk Juhudi zake zimegonga ukuta.Post a Comment. Ilikuwa ni siku ya jumanne ,asubuhi na mapema,katika jiji la mwanza ambalo limezungukwa na milima ya aina mbalimbali kama mawe,alimasi na dhahabu.

hadithi za kiswahili 2018

Wingu la kiza na kibari kwa mbali vilitatawla asubuhi ya jumanne. Ilikuwa saa 2 asubuhi,Hamisi alipowasha gari lake na kuelekea mjini. Alipokuwa njiani,gari lake lipata matatizo,baada ya tairi kupasuka katika mpira wa ndani. Hamisi akampigia fundi wa mjini ili waje kumsaidia. Kama tulivyoangalia sehemu iliyopita,tuliona Bakari ndio mpenzi wake Salma. Lakini hatukuweza kufaham Bakari kazi aliokuwa akifanya pale mjini mwanza.

Hamisi akampigia fundi anaemuamini kabisa ,ambae ndie Bakari. Kwa wakati huo alikuwa amelala na Salma nyumbani kwake. Simu ilikuwa inaita lakini,Bakari alikuwa usingizini,Salma alikuwa macho pale kitandani,akaishika simu kwa wivu wake kuangalia nani anampigia mpenzi wake mpendwa. Salma akapata mshituko baada ya kuona namba ya Hamisi. Mara Bakari akashtuka usingizini na kumwambia Salma,nipatie simu. Salama akampatia simu Bakari,wakati simu ilikuwa inaita.

Bakari akapokea simu na kuongea na Hamisi. Baada ya maongezi Bakari akamgeukia Salma na kumwambia,kuna kazi ya dharura inabidi niende kuifanya haraka,kama utapenda twende wote.

Salma alikwisha fahamu mambo yanavyokwenda na aliyepiga alikwishamtambua ni Hamisi. Mpaka hapo utaona jinsi gani mapenzi,yalivyokuwa na mzunguko kati ya Bakari na Salma,pamoja na Hamisi na Salma.

"Hadithi za kiswshili mpya"

Hapo utaona ni hatari sana kwenye mapenzi. No comments:. Older Post Home. Subscribe to: Post Comments Atom.Aligned to the Curriculum Covers the entire curriculum for both English and Kiswahili in Foundation Level, with stories and vocabulary matching the syllabus topics for each week of the school year. Faster learning Each story includes letter tracing, spelling and sentence making exercises.

Together they form a scientifically-proven pedagogy called Reading to Learn, which has shown to improve progress in reading and writing 4x faster than traditional methods. Somali literacy in Dadaab Developed with SIL and NRC, our Somali literacy app was built for adults who had missed out on school, with stories about everyday life in Dadaab refugee camp. An independent study found a remarkable 3X faster progress than the control group! Download our apps. Kiswahili literacy app with stories and exercises to boost your child's learning.

Get Hadithi Hadithi! English literacy app with Kenyan stories and exercises to accelerate reading skills. Get Story Story! Request a demo Notice: JavaScript is required for this content.Ngano za usuli husimulia asili au chanzo cha dhana fulani.

Visasili hukusudia kuelezea kwa nini jambo fulani hutokea au kwa nini vitu huwa kama vilivyo.

hadithi za kiswahili 2018

Kwa mfano kwa nini fisi huchechemea, kwa nini kobe hutembea polepole n. Hujibu swali: Kwa nini jambo fulani huwa jinsi lilivyo? Huwa na mwanzo maalum - kuonyesha kwamba katika zama za kale dhana inayorejelewa, haikuwa vile ilivyo sasa.

Maswali ya tumbo lisiloshiba na hadithi nyingine

Mfano: Hapo zamani za kale, kobe alikuwa na ngozi laini kama wanyama wengine Huwa na mwisho maalum - kuthibitisha kwamba yaliyosimuliwa katika hadithi hiyo ndiyo yaliyopelekea kuwepo kwa hali hiyo. Hii ndiyo sababu ngozi ya kobe ina magamba.

Tangu siku hiyo fisi huchechemea. Hurejelea dhana zinazopatikana katika ulimwengu wa sasa. Umuhimu wa Usuli Kuelimisha watoto kuhusu mazingira na dhana mbalimbali Kutafuta maelezo ya mambo yanayochukuliwa kuwa ya kawaida. Kuelekeza na kunasihi Kuburudisha hadhira Kukuza uwezo wa kufikiri Kupitisha muda. Mifano Kwa nini fisi huchechemea Kwa nini ngozi ya Kobe ina magamba Kwa nini chura ana mabaka katika ngozi yake Kwa nini kanga hana manyoya Kwa nini Paka na panya ni maadui.


thoughts on “Hadithi za kiswahili 2018

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *